WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Wednesday, 26 August 2009

CHALLENGE CUP U-17 ZANZIBAR 1-0 UGANDA

( Mchezaji Sleiman Haji pichani kushoto wa Zanzibar akiwa makini kumbana mchezaji wa timu vijana ya Uganda.)
Timu ya Taifa ya vijana U-17 ya Zanzibar imeingia Robo fainali baada ya kuifunga timu ya Taifa ya vijana ya Uganda kwa bao 1-0 katika mchezo uliofanyika Juba-Sudan,

kwa matokeo hayo Zanzibar itajitupa uwanjani kesho kwa kupambana na Eritrea kwenye mechi ya kuwania nafai ya kuingia Nusu fainali itakayochezwa kwenye mji wa Wademedan Sudan,


wakati Zanzibar watajimwaga uwanjani kesho,"Serengeti Boys" timu ya Taifa ya Tanzania U-17

ilitarajiwa kujitupa uwanjani leo katika mechi nyingine ya Robo Fainali kuchuana na Ethiopia,

Seengeti Boyz wameweza kutinga fainali baada ya kuifunga Somalia 2-0, kuichapa malawi 2-1,

na kupata point 3 baada ya wenyeji Sdan kuchezesha wachezaji wenye umri mkubwa kinyume na sheria za mashindano hayo.


Kocha Mbrasil Rodrigo Stockler wa Taifa wa vijana Ya Tanzania alikuwa na matumaini makubwa ya kuwafunga wahabeshi hao baada ya vijana wake kuonyesha kiwango kizuri katika mechi zilizopita.
-------------------------------------------------------------------------------------------------