WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 22 August 2009

CHIPUKIZI WA O.F.A "KARIHE" AWEKA BAO LA KWANZA TANZANIA U-17 "SERENGETI BOYZ 2-1 MALAWI


Seif Abdalla "Karihe" (mbele mwenye mpira)akiwa katika mazoezi na vijana wa Oranje Football Academy

Mfungaji wa kutumainiwa wa oranje football academy Seif Abdalla "Karihe" leo ameweza kuonyesha uwezo wake wa hali ya juu katika kusakata soka kwa vijana wenye umri wa miaka 17 kwa nchi za africa mashariki na kati baada ya kuifungia timu ya taifa ya Tanzania ya "Serengeti Boys bao la kwanza kati ya mawili ambayo Serengeti boyz iliwezo kuichapa Malawi kwa jumla ya magoli 2-1.
kutokana na uwezo na kipaji kikubwa cha chipukizi hiyo wa O.F.A kama makocha wa timu ya Serengeti boys kutoka Brasil wakiendelea kumtumia katika nafasi basi wataweza kupachika mabao mengi katika mechi zijazo,kwani ni mmoja kati ya nyota mwenye uwezo mkubwa wa kufunga na kusaidia wenzake kupachika mabao akiwa kiwanjani.
-------------------------------------------------------------------------------------------------