WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday 29 August 2009

MSHAMBULIAJI NYOTA WA ORANJE FOOTBALL ACADEMY AKIWA SUDAN

Nyota wa Oranje football Academy Seif Abdalla"karihe"( wa kwanza kushoto katikati)akiwa katika mazoezi ya Timu ya Taifa ya Tanzania U-17 wakati wa mazoezi mjini Khartoum-Sudan kabla ya mechi yao na Uganda katika mchezo wa nusu fainali ambapo Serengeti boys ilipoteza mechi hio kwa njia ya penalti 6-4 baada ya kwenda sare 1-1 hadi kufikia muda wa nyongeza wa dakika 120.
Serengeti boys ilitarajiwa kujitupa uwanjani jana kupambana na Eritrea katika kuwania nafasi ya tatu, Eritrea iliitoa Zanzibar U-17 kwenye nusu fainali baada ya kuifunga mabao 2-1,

timu zote mbili za vijana chipukizi kutoka nchini walionyesha nidhamu ya hali ya juu katika mashindano hayo ndani na nje ya uwanja, pia waliweza kuonyesha viwango na vipaji vya hali ya juu na kunyesha kuwa Tanzania itakuwa na hazina kubwa kwa timu za Taifa A miaka ijayo.
Tanzania U-17 imeshika nafasi ya tatu baada ya kuifunga Sudan 2-0.

kwa niaba ya oranje football academy kupitia katika web blog yake hii inatoa pongezi kwa wachezaji,viongozi na wale wote waliofanikisha maendeleo ya vijana wetu kwa namna moja au nyingine kwa timu zote mbili za vijana nchini,pia inapenda kutoa shukurani kwa wapenzi wote ambao waliweka mioyo na masikio yao kufatilia mashindano hayo wakati vijana wetu wakiwa katika michuano hio ya challenge cup U-17 huko Sudan.

ORANJE FOOTBALL ACADEMY INATOA PONGEZI KWA CHIPUKIZI WAKE SEIF ABDALLA"karihe" AMBAE AMEONYESHA KIWANGO CHA HALI YA JUU PAMOJA NA HESHIMA KUBWA WAKATI AKIWA HUKO SUDAN.
-------------------------------------------------------------------------------------------------