WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Friday, 28 August 2009

TANZANIA U-17 "SERENGETI BOYS"1-0 ETHIOPIA YATINGA NUSU FAINALITimu ya Taifa ya vijana ya Tanzania "Serengeti Boys" imeingia nusu fainali baada ya kuifunga Ethiopia kwa bao 1-0 katika mchezo wa Robo Fainali uliochezwa jana baada ya hapo awali kuahirishwa kutokana na mvua kali iliyokuwa ikinyesha nchini Sudan,

kwa matokeo hayo vijana a Serengeti Boys watajitupa uwanjani kupambana na Uganda katika mechi ya Nusu fainali baada ya Uganda kuichapa Kenya 2-0 katika mechi nyingine ya Robo Fainal.
-------------------------------------------------------------------------------------------------