WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 29 August 2009

TANZANIA U-17 YAAGA MASHINDANO YATOLEWA KWA PENALTI

Timu ya Taifa ya vijana ya Tanzania "Serengeti boys" imepoteza mechi yake ya nusu fainali na uganda baada ya kufungwa kwa njia ya penalti 5-3 kwamatokeo hayo inafanya kutolewa kwa jumla ya mabao 6-4 baada ya kufungana bao 1-1 katika dakika 120 kwenye mchezo mkali wa nusu fainali iliyofanyika mjini khartoum-sudan.

Bao la vijana wa Tanzania "serengeti boys"lilifungwa na Thomas Ulimwengu kwenye dakika ya 10,ambapo Uganda ilisawazisha dakika moja kabla ya kumalizika kipindi cha kwanza.

kipindi cha pili timu zilishambuliana na kukosa mabao ya wazi ambapo vijana wa Tanzania walionekana kucheza soka zaidi katika dakika za mwisho lakini matokeo yalimalizika dakika 120 kwa bao 1-1.

Tanzania jumatatu itacheza mechi ya kutafuta mshindi wa tatu kwa kupambana na Eritrea ambayo iliitoa Zanzibar katika mechi ya robo fainali kwa jumla ya magoli 2-1.
-------------------------------------------------------------------------------------------------