WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Monday, 14 September 2009

ASAM PUBLIC RELATIONS COMPANY- ORANJE FOOTBALL ACADEMY WANATARAJIWA KUFANYA ZOEZI LA VIPAJI VYA SOKA KWA VIJANA

ASAM PUBLIC RELATIONS COMPANY ikishirikiana na ORANJE FOOTBALL ACADEMY wanatarajiwa kufanya zoezi la kutafuta vipaji vya soka kwa vijana ambao watapata fursa ya kwenda nchini ISRAEL kujiunga na academy mbalimbali za nchi hio.

Akiongea na Web blog hii O.F.A katibu mkuu wa kituo hicho cha kukuza vipaji vya soka kwa vijana Hussein Ali ahmada (pichani)katika nakala ya barua yake aliyoituma kwa chama cha soka cha Zanzibar Z.F.A

ORANJE FOOTBALL ACADEMY ikishirikiana na kampuni ya ASAM PUBLIC RELATION COMPANY ya hapa Zanzibar wanatarajia kufanya zoezi maalumu la kutafuta wachezaji vijana wenye vipaji kwa lengo la kwenda kujiunga na Academy za nchini ISRAEL kama ambavyo mazungumzo hivi sasa yanavyoendelea.


Akiendelea kuiomba Z.F.A katika barua katibu Hussein alisema "Hii ni Hatua ya awali kabisa na tumeona ni vyema kuijulisha Z.F.A Taifa kwa sababu sio tu kwamba suala hili litaishia tu katika taasisi yako,bali pia lina umuhimu mkubwa kwa Taifa zima kwa ujumla iwapo fursa hizo zitapatikana.

Vijana watakao fanyiwa zoezi hilo ambao wenye uwezo mkubwa katika soka ni wale ambao watakuwa na umri kati ya miaka 14 - 15 na wale kati ya miaka 16 - 17.

Kwahio Tunaomba kuutumia uwanja wa Mao Tse Tung kufanyia zoezi hilo kwa tarehe 10 - 11, na 17 - 18 oktoba 2009, kuanzia saa 2:30 asubuhi hadi saa 11:oo jioni.

Zoezi Hilo litashirikisha jopo la makocha mbalimbali kuanzia wale waliowahi kufundisha timu za Taifa mbali mbali,hadi wale ambao wamejikita katika kufundisha timu za vijana.


Mawasiliana haya ni kupata baraka za Z.F.A za awali na tutakuwa tukiwasiliana nawe kila hali itakavyokuwa na tunatarajia hatutochoka kwa misaada tutakayoiomba, ahsante" ilimalizia barua hio ya katibu mkuu kwa niaba ya ORANJE FOOTBALL ACADEMY na ASAM PUBLIC RELATIONS COMPANY aliyoituma kwa Katibu mkuu wa Z.F.A Taifa.
-------------------------------------------------------------------------------------------------