WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Thursday, 10 September 2009

KILA LA KHERI RIVALDO

RIVALDO ALIPOKUWA KATIKA BENFICA ACADEMY YA LISBON AKIMTOKA KIUNGO WA WAPINZANI WAO WAKUBWA SPORTING LISBON ZOTE ZA PORTUGAL MIAKA 2 ILIYOPITA)
------------------------------

RIVALDO ALIBADILISHA JAZI NYEKUNDU YA BENFICA NA KUJIUNGA ZEBRA KIJANI NA NYEUPE YA SPORING LISBON AMBAO WALIMCHUKUA KIONGO HUYO MSHAMBULIAJI MWENYE UWEZO MKUBWA WA KUFUNGA MABAO,KASI NA KUGAWA PASI KWA WASHAMBULIAJI WENGINE KUPACHIKA MABAO,RIVALDO ALIKIWA KATIKA TIMU YA SPORTING LISBON HADI KUFIKIA MWISHONI MWA MSIMU ULIOPITA AMBAPO AMEMALIZA MKATABA NA KUAMUA KUBADILISHA UPEPO AMBAPO WIKI IJAYO TAREHE 17 SEP 2009 ATAKWENDA NOTHERN IRELAND KUJIUNGA NA TIMU YA BANGOR F.C .

MBALI NA TIMU HIO YA MJI WA BELFAST PIA TIMU NYINGINE YA PRIMIER LEAGUE YA SWEDEN ILIKUWA INAMUWANIA NYOTA KUYO AMBAE JINA LAKE HASA NI DAUDE MACHUDE LAKINI KUTOKANA NA KIPAJI CHAKE CHA UCHEZAJI BENFICA YA PORTUGAL WAMEMBATIZA JINA LA RIVALDO KWA KUMFANANISHA NA NYOTA WA ZAMANI WA BRASIL RIVALDO AMBAO WOTE WANATUMIA MIGUU YA KUSHOTO,STAIL ZAO NA UFUNGAJI WA MABAO.
-------------------------------------------------------------------------------------------------