WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Tuesday, 8 September 2009

KIONGOZI MWINGINE WA ORANJE FOOTBALL ACADEMY KUTOKA EUROPER KUWASILI NCHINI KESHO.

Makamo wa Rais wa Oranje Football Academy Mudathir (kulia)anatarajiwa kufika nchini kesho akitokea Glasgow-Scotland,
pichani kushoto ni C.E.O wa Oranje Football Academy Jacky Mahood wakati walipokutana katika office ya mr Jacky mjini Belfast-Nothern Ireland,
akiwa nchini makamo wa Rais ataungana na kiongozi mwingine wa O.F.A kutoka Holland Isabel Den Heijer ambae tayri yupo nchini kwaajili ya mipango ya kuwaendeleza vijana hao wenye sifa ya kutandaza soka,
akiwa nchini ataweza kukutana na viongozi na wachezaji wote wa Oranje Football Academy kwa lengo la kupanga mikakati ya kukiendeleza kituo hicho cha kukuza soka kwa vijana nchini.
mr Mudathir atakuwa ni kiongozi wa tatu wa O.F.A kutoka europer kutua nchini ndani ya miezi 3,
wiki iliyopita kiongozi wa O.F.A Den Heijer ambae ni raia wa Holland aliwasili nchini,
miezi 2 iliyopita kiongozi mwingine wa chipukizi hao mr Nassor alikuwepo nchini akitokea nchini Turkey.

katika siku chache zijazo Oranje Football Academy wataweza kutoa nafasi kwa mchezaji wa kwanza kwenda Europer kucheza soka ya kulipwa.
-------------------------------------------------------------------------------------------------