WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 20 September 2009

ORANJE FOOTBALL ACADEMY INAWATAKIA EID NJEMA KWA WOTE

("New Generation" mashabiki wa O.F.A wakisherehekea kwa kushikilia moja ya kombe ambalo O.F.A walilitwaa hivi karibuni).
-------------------

KWANIABA YA ORANJE FOOTBALL ACADEMY INAWATAKIA EID NJEMA MASHABIKI WAKE,VIONGOZI NA WACHEZAJI WOTE KWA UJUMLA.

ZAIDI O.F.A INATARAJIWA MSIMU HUU KUTOA BURUDANI KWA MASHABIKI WAKE KWA SOKA YA KISASA MARA BAADA YA KUANZA KWA MAZOEZI HIVI KARIBINI KUTOKANA NA KUFATILIA KWA UMAKINI USAJILI WA NYOTA WAPYA AMBAO WATATANGAZWAHAPO BAADAE.
-------------------------------------------------------------------------------------------------
wakati huohuo nyota chipukizi ambae yupo mjini Belfast kucheza soka ya kulipwa RIVALDO anawatakia EID njema ORANJE FOOTBALL ACADEMY ambapo leo ametuma salamu zake za EId kwa njia ya simu kutoka Belfast kupitia katika web blog hii ya kituo cha kukuza soka kwa vijana cha ORANJE FOOTBALL ACADEMY,

LEO RIVALDO amesherehekea Eid hio akiwa na C.E.O wa ORANJE FOOTBALL ACADEMY mr JACKY MAHOOD raia Nothern Ireland ambae ni mmoja katika aliefanikisha safari hio ya Rivaldo,

jana Rivaldo alikwenda kuangalia mechi ya ligi ya Championship ya timu yake ya Bangor F.c ambapo alifatana na manager wake mr Collin McCurdy, Bangor F.c walishinda kwa jumla ya mabao 4-3,
kesho ataanza mazoezi na mwishoni mwa wiki hii watakuwa na mechi ya kirafiki ambapo Rivaldo itakuwa ni mechi yake ya kwanza kwa timu yake hio.
-------------------------------------------------------------------------------------------------