(Pichani chini)chipukizi wa Oranje Football Academy wakipasha joto kabla ya mechi ya kirafiki
Mbali na uwanja wa wenyeji hao wa fujuni Stars kuwa katika hali mbaya lakini vijana walionyesha kandanda safi na kuwabamiza wenyeji wao jumla ya magoli 4-1
ORANJE FOOTBALL ACADEMY KITUO CHA KUKUZA VIPAJI VYA SOKA KWA VIJANA NCHINI U14/U17/U19.AHSANTE KWA KUTUTEMBELEA KATIKA BLOG YETU KARIBU SANA KUSAIDIA MAENDELEO YA VIJANA AMBAO NI WACHEZAJI WA TAIFA LETU LA BAADAE.BILA YA KUWA NA MISINGI MIZURI NA MALENGO NI VIGUMU KUPATA MAENDELEO.BILA YA KUWA NA TIMU BORA ZA VIJANA HAKUNA MAENDELEO YA SOKA.VIJANA NDIO MSINGI WA MAENDELEO YA TAIFA LA KESHO.FUATILIA HABARI ZETU ZA KILA SIKU KUPITIA KATIKA OFFICIAL WEBSITE YETU WWW.OFAZNZ.NET