WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Wednesday, 23 September 2009

ORANJE FOOTBALL ACADEMY WIKI ILIYOPITA

wachezaji na viongozi wa o.f.a wakipata futari kwa pamoja siku ya tarehe 27 ya mwezi wa ramadhani.
-------------------------------------------------------------------------------------------------
Viongozi wa Oranje Football Academy wakimaliza kupata futari (wa kwanza kutoka kushoto coach Hassan ambae ndie aliepadisha kiwango cha Nadir Haroub"Canavaro"ambae sasa anacheza soka ya kulipwa nchini Canada ambae pia katika muda huo Canavaro alikuwa pamoja na Abdi Kassim mchezaji mwingine wa timu ya Taifa ya Tanzania pamoja na wachezaji wengine wengi wanaowika katika soka nchini,

wapili kutoka kushoto ni katibu mkuu wa o.f.a Hussein ambae ndie mmoja katika viongozi wanaoleta maendeleo na mafanikio makubwa katika academy hii ya o.f.a,

watatu kutoka kushoto ni vice president wa o.f.a Mudathir ambae anaishi nchini
Nother Ireland na ndie alieifanikisha kwa sehemu kubwa safari ya chipukizi wa kimataifa wa mozambique Rivaldo ambae tayari ameeanza mazoezi na kuanza kumwagiwa sifa kubwa na viongozi pamoja na wachezaji wa timu ya Bangor f.c kutokana na skills zake, ambapo Bangor wako katika nafasi ya 4 katika msimamo wa ligi baada ya kushinda mwishoni mwa wiki iliyopita na mchezo unaofata wa ligi ni tarehe 03-10-2009 hivyo itakuwa na mchezo wa kirafiki siku ya ijumaa ambapo Rivaldo anatarajiwa kuwa katika kikosi hicho, kuanza kwa mazoezi kwa Rivaldo na kuonyesha Skills kubwa imeonyesha kutoa nafasi kubwa kwa o.f.a ya kuitumia klabu hio kupeleka vijana wake kwa kukulia kisoka au kuchezea moja kwa moja timu kubwa ya Bangor f.c ambapo taarifa zaidi zitakuja mara baada ya mipango yote kukamilika.

wa kwanza kulia ni Isabel Den Heijer mwandishi na mpangaji wa shughuli za o.f.a ambae ni raia wa Holland ambae mara baada ya kurudi holland ataweza kuisaidia kwa kiasi kikubwa o.f.a kuwa na jina kubwa na kutoa vijana kwenda holland katika timu mbali mbali za huko mara baada ya mipango yote kukamilika,
kabla ya futari hio,Den Heijer alikabidhi baadhi ya vifaa vya michezo kwa kituo hicho cha kukuza soka kwa vijana nchini o.f.a
-------------------------------------------------------------------------------------------------
Wachezaji wa O.f.A wakisikiliza mikikati mbalimbali iliyokuwa ikizungumziwa na viongozi wao kwa malengo ya kukiendeleza kituo hicho cha kukuza soka kwa vijana nchini siku ya tarehe 27 ya ramadhani kabla ya jioni yake kupata futari pamoja na viongozi wao
-------------------------------------------------------------------------------------------------