WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 13 September 2009

RIVALDO KUONDOKA JOHANNESBURG ALHAMIS KWENDA NOTHERN IRELAND

Mchezaji wa kimataifa wa timu ya Taifa ya Mozambique "Mambas" mwenye asili ya Kitanzania Rivaldo ataondoka mjini Johannesburg South Africa alkhamis saa 20:00pm kuelekea Nothern Ireland ambapo atajiunga na timu yake mpya ya Bangor F.C.

Mchezaji huyo Chipukizi ambae anafananishwa na nyota wa zamani wa Brasil Rivaldo kwa staili zake za uchezaji katika nafasi ya kiungo mshambuliaji wa kushoto ataondoka mjini
Maputo-Mozambique mchana kwa ndege kuelekea Johannesburg South Africa tayari kwa safari hio.

safari kamili ya nyota huyo ni kama ifuatavyo.

ataondoka Johannesburg South Africa siku ya alkhamis 20:00pm na kuwasili Heathrow -London ijumaa saa 6:55am,

atakuwa na muda mdogo wa kubadilisha ndege kutoka Heathrow airport - London saa 8:50am kuelekea Belfast-Nothern Ireland,

atawasili Belfast City Airport saa 10:10am siku hio ya ijumaa ambapo atapokelewa na C.E.O wa kituo cha kukuza soka kwa vijana cha ORANJE FOOTBALL ACADEMY mr JACKY MAHOOD ambae kwa kushirikiana na viongozi wengine wa O.F.A ndio aliofanikisha safari hio ya Rivaldo ,mbali na mr Mahood pia atapokelewa na viongozi wengine wa klabu yake ya BANGOR F.C. ya Mjini Belfast-Nothern Ireland.

ORANJE FOOTBALL ACADEMY NI KITUO CHA KUKUZA SOKA KWA VIJANA NCHINI AMBAPO KINA MUDA MCHACHE TU TOKEA KUANZISHWA KWAKE KIKIWA NA MALENGO MAKUBWA YA KUPANDISHA SOKA NCHINI KUTOA NYOTA WENGI KWENDA KUCHEZA SOKA YA KULIPWA NJE KWA LENGO LA KULISAIDIA TAIFA HAPO BAADAE.

Hivi karibuni mipango pia inaendelea kufanywa na tunatarajia kutangaza majina mawili ya wachezaji wengine nyota wa Taifa Stars kwenda kucheza soka ya kulipwa tutatangaza pale mipango yote ya safari itakapokamilika.

KWA NIABA YA ORANJE FOOTBALL ACADEMY INAMTAKIA NYOTA HUYO RIVALDO SAFARI NJEMA.
-------------------------------------------------------------------------------------------------