WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Thursday, 29 October 2009

6 WATAKIWA GLASGOW RANGERS YA SCOTLAND KUTOKA ORANJE FOOTBALL ACADEMY

Timu ya Glasgow Rangers ya Scotland iko katika mazungumzo ya mwisho na C.E.O mr Jacky Mahood wa kituo cha kukuza soka kwa vijana cha Oranje Football Academy ya kuwachukua nyota wake sita wenye umri kati ya miaka 14-16 ambao wanatarajiwa kujiunga na Academy ya timu hio ya Ibrox.
Kiongozi wa Rangers ambae amekuwa akimfatilia Rivaldo katika kila mechi anayocheza kutakana na mwaliko wa C.E.O huyo wa Oranje Football Academy amevutiwa sana na kiwango kikubwa cha soka kilichoonyeshwa na Rivaldo ikiwemo ufungaji wa mabao maridadi kila mechi na kumtaka mr Jacky kumpatia nyota 6 kutoka academy yake ya O.F.A wenye viwango vikubwa kulinganisha na Rivaldo ambae jina lake halikujulika hapo awali nchini Nothern Ireland

tayari majina yamefikishwa katika klabu ya Rangers ya nyota hao 6 na tunatarajia taarifa zaidi wakati wowote kuanzia wiki ijayo.
mr Jacky Mahoo ambae ni mfanya biashara maarufu mjini Belfast ndie ambae anaeiunganisha Rangers na Oranje Football Academy katika kufanikisha safari ya chipukizi hao wao wa O.F.A aliongea na Blog hii ya kituo cha O.F.A juzi kutoka mjini Belfast.

mr Jacky ndie ambae pamoja na viongozi wengine wa O.F.A walifanikisha safari ya nyota wa kimataifa kutoka Mozambique Rivaldo ambae hivi sasa amekuwa ni gumzo kubwa mjini Belfast na tayari timu 3 kubwa zimejitokeza kutaka kumuondoa hapo alipo sasa katka usajili wa january .

wakati huohuo mabingwa wa Primier Legue wa nchini Nothern Ireland Linfield wanawawania nyota wawili wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ambao mipango yao inaendelea vizuri na tunatarajia barua zao za mualiko kwaajili ya Trials zitatumwa nchini hivi karibuni baada ya kukamilika kwa mipango hio.
mipango yote hio inafanywa na viongozi wa O.f.A waliopo nchini na wale waliopo nje.
.........................................................................................................................................................................