WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 10 October 2009

ASAM PUBLIC RELATIONS COMPANY/ORANJE FOOTBALL ACADEMY LEO WAANZA RASMI ZOEZI LA KUTAFUTA VIPAJI VYA SOKA KWA VIJANA

Asam Public Relations Company pamoja na Oranje Football Academy leo wameanza zoezi la kutafuta vipaji vya soka kwa vijana nchini wenye umri kati ya miaka 10-11, na wale wa miaka 16-17.

zoezi hilo limeanza leo na kuendelea kesho ambapo makocha waliosimamia zoezi hilo ni makocha wakubwa ambao waliwahi kufundisha timu za taifa mbalimbali ikiwemo Taifa Stars ambapo vijana wenye vipaji vya hali ya juu wataweza kupata nafasi ya kwenda Israel kujiunga na academy mbalimbali za huko,

vijana wengi walijitokeza kuwania nafasi hizo ambapo pia kesho wataendelea na zoezi hilo chini ya makocha hao.
jopo hilo la makocha akiwemo kocha msaidizi wa zamani wa Taifa Stars Ali Bushiri,Hussein Kheri,makocha wa timu ya Taifa ya Zanzibar Ali Kidy na Hemed Morroco pamoja na mokocha wengine wenye uwezo mkubwa katika soka ambapo zoezi hilo lilikuwa na jumla ya makocha 13 pamoja na wachezaji mbalimbali wa zamani waliopata kuwika nchini kama Captain Fadhil, Forman wachezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Zanzibar.

zoezi hilo litaendelea tena mbali na kesho litafanyika pia siku ya tarehe 17 ,na tarehe 18 itakuwa ni siku ya mwisho na kupatikana majina yote ya vijana hao wenye uwezo wa hali ya juu kisoka.
maelezo zaidi ya zoezi hilo kufatia baadae.