WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 11 October 2009

JOPO LA MAKOCHA KATIKA ZOEZI LA KUTAFUTA VIPAJI

Makocha mbalimbali ambao wapo katika zoezi la kupata vijana nyota watakaopata nafasi ya kwenda nchini Israel(pichani kakocha wakisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa kocha msaidizi wa zamani wa Taifa Stars Ali Bushiri katika zoezi hilo jana ambapo ilikuwa ni siku ya mwanzo katika kiwanja cha Mao Tse Tung.
-------------------------------------------------------------------------------------------------
Makocha wenye uwezo mkubwa kisoka kuanzia ngazi ya vijana hadi ya Taifa wakifatilia kwa makini zoezi la kuchagua vijana wenye vipaji vikubwa kisoka ambao watapata nafasi ya kwenda kucheza soka nchini Israel kwa kujiunga na academy mbalimbali za huko mpango ambao utakuwa ukiendelea kila mara,ambapo vijana wengi watakulia kisoka nje na kuja kulitumikia Taifa siku za baadae.mpango huu opo chini ya Asam Public Relations Company ya Zanzibar ikishirikiana kwa pamoja na Oranje Football Academy.
Zoezi hilo linaendelea tena leo,na wiki ijayo tarehe 17-18.
-------------------------------------------------------------------------------------------------