WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 18 October 2009

MAZOEZI ORANJE FOOTBALL ACADEMY KUANZA TAREHE 02-11-09

Mazoezi Oranje Football Academy yataanza tarehe 02-11-09.
akitangaza kuanza kwa mazoezi katibu mkuu wa Oranje Football Academy Hussein alisema wanatarajia kukutana na wachezaji kuwapatia vifaa kwaajili ya kuanzia mazoezi na kila kitu kinakwenda vizuri hadi sasa.
katibu mkuu Hussein(pichani akiwa katika ofisi ya O.F.A) alisema leo ilikuwa ni siku ya mwisho kwa zoezi la kuwapata vijana nyota watakaopata nafasi ya kwenda nchini Israel zoezi hilo limemalizika vizuri,na hivi karibuni wataweza kuwatangaza wachezaji ambao wamekuwa wakiangaliwa kwa pamoja na jopo la makocha mbalimbali pamoja na wachezaji nyota wa zamani.
Oranje Football Academy natarajiwa kuwa na sura mpya katika usajili wa msimu huu ambao ni nyota wenye uwezo wa hali ya juu katika soka ambao wataweza kujumuika na wale wa wamani na kukifanya kikosi cha Oranje Football Academy kuongezeka makali pamoja na kucheza soka bora zaidi.
.........................................................................................................................................................................