WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 3 October 2009

ORANJE FOOTBALL ACADEMY 1-1 O.FA

chipukizi wa ORANJE FOOTBALL ACADEMY wakisikiza viongozi wao hivi karibuni.
-------------------------------------------------------------------------------------------------
Nyota wa timu ya Taifa ya vijana ya Tanzania U-17 "Serengeti Boys" Seif Abdallah "Karihe" (katikati)pamoja na nyota wengine wa ORANJE FOOTBALL ACADEMY wakisikiza kwa makini maelezo kutoka kwa viongozi wao.
-------------------------------------------------------------------------------------------------
Vijana wa ORANJE FOOTBALL ACADEMY wakiwa katika mechi ya kirafiki mara baada ya sikukuu ya eid
-------------------------------------------------------------------------------------------------
Viongozi wa kituo cha kukuza soka kwa vijana nchini ORANJE FOOTBALL ACADEMY wakifahamishana jambo katika mechi ya kirafiki baada ya sikukuu ya eid iliyoandaliwa kwa ajili yao.
-------------------------------------------------------------------------------------------------
Vijana wa O.F.A walikuwa na mchezo mmoja wa kirafiki baada ya sikukuu ya eid ambapo waliweza kutoa burudani kwa viongozi wao kwa kuzigawa timu mbili za ACADEMY HIO kutokana na kuwa na mitihani ya Taifa inayowakabili vijana hao waliweza kutoa zawadi hio kwa viongozi wao hasa kwa wale wanaishi Ulaya kwavile wapo njiani kurejea ulaya na kuanza mikakati mbalimbali na shughuli za kukikuza kituo hicho na kuweza kutoa njota wake tayari kwa kwenda kucheza soka nje siku zijazo,matokeo yalikuwa hadi mwisho 1-1.
-------------------------------------------------------------------------------------------------