WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Friday, 2 October 2009

RIVALDO APACHIKA BAO JINGINE

CHIPUKIZI WA KIMATAIFA AMBAE AMEPEWA PASI NA ORANJE FOOTBALL ACADEMY JANA USIKU ALIPACHIKA BAO JINGINE KATIKA MECHI YAKE YA PILI YA KIRAFIKI NA KUCHEZA KIWANGO KIKUBWA AMBACHO KILIWAFANYA WAPENZI NA MASHABIKI WA TIMU YA BANGOR KUMSHANGILIA KILA ANAPOGUSA MPIRA.
KUTOKANA NA KUCHEZA SOKA YENYE STAILI ZA HALI YA JUU ILIWAFANYA MASHABAKI HAO WA BANGOR PAMOJA NA WAANDISHI WA HABARI KUMPIGA PICHA KILA VITENDO ANAVYOVIFANYA UWANJANI KUTOKANA NA KUWA NA SKILLS ZA HALI YA JUU.
KATIKA MECHI HIO YA KIRAFIKI BANGOR ILIWACHEZESHA WACHEZAJI WENGI WASIOKUWA KATIKA KIKOSI CHA KWANZA MBALI NA WALE WALIOCHEZA WIKI ILIYOPITA ILI KUWAPA NAFASI PIA YA KUWA FITI AMBAPO MWISHO WA MCHEZO BANGOR 3-4 DUNDELA.

TIMU YA DUNDELA WALIKUWA WAKIONGOZA KWA BAO 0-2 MABAO YALIYOFUNGWA MOJA KWA PENALTI NA JINGINE UZEMBE WA MABEKI, KABLA YA RIVALDO KUPACHIKA BAO 1-2,
KUTOKANA NA TIMU YA DUNDELA KUMKWATUA SANA KWA RIVALDO KUTOKANA NA KUONA NI TISHIO KWA UPANDE WAKE ILIBIDI RIVALDO APUMZISHWE KATIKA DAKIKA YA 70, AMBAPO KUTOKANA NA KUTOKA KWAKE KULIWZA KUWAPA NAFASI BANDELA KUBANDIKA BAO LA 3 KABLA YA BANGOR KUJERESHA NA KUWA 3-3,DAKIKA YA 85 DUNDELA ILIONGEZA BAO LA USHINDI KWA PENALTI NA KUFANYA 3-4.

KUTOKANA NA KIWANGO KIKUBWA CHA RIVALDO VIONGOZI WA BANGOR WAMEFURAHISHWA SANA NA CHIPUKIZI HUYO AMBAE NI BALOZI WA ORANJE FOOTBALL ACADEMY KUFUNGUA MILANGO KWA WACHEZAJI WENGINE NA TAYARI VIONGOZI WA TIMU HIO WAMEVUTIWA SANA NA KUTAKA NJOTA WENGINE KWENDA NOTHERN IRELAND.
TAYARI WEB BLOG HII YA ORANJE FOOTBALL ACADEMY IMEPOKEA UJUMBE KUTOKA KWA MANAGER WA BANGOR COLLIN McCURDY KUHUSU NYOTA WENGINE AMBAO WATAJIUNGA NA TIMU HIO YA MJI WA BELFAST.

hongera Rivaldo kwa kuiwakilisha na kuitumia vizuri nafasi ya kituo hiki cha kukuza soka kwa vijana cha ORANJE FOOTBALL ACADEMY na tunatarajia nafasi kama hii itatumiwa ipasavyo kwa wachezaji wengine ambao O.F.A itapeleka nje iweze kutengeneza soko zaidi na kutoa nafasi nyingine pia kwa vijana wengine.
-------------------------------------------------------------------------------------------------