WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 1 November 2009

MAZOEZI KUANZA KESHO RASMI ORANJE FOOTBALL ACADEMY


(Chipukizi wa Orange wakiwa mazoezini)


Mazoezi yanaanza rasmi kesho kwa chipukizi wa Ornje Football Academy kwa msimu mpya,
chipukizi hao jana walikabidhiwa vifaa vyao kwaajili ya kufanyia mazoezi hayo.
katika msimu huu mpya Oranje Football academy imewapoteza nyota wake watatu waliojiunga na timu nyingine ambao ni Yunuss Abdalla Yussuf,Salum Rashid Adi na Ali Hilal Ame,
Oranje Football Academy inatoa shukurani zote kwa nyota hao katika mchango wao waliotoa katika Academy hio kwa muda wote waliokuwa nasisi, tunawatakia mafanikio na maendeleo mazuri katika timu walizokwenda ,

Katika msimu mpya Oranje Football Academy imeongeza nguvu mpya nyota wenye uwezo wa hali ya juu kisoka ambao ni IDI JUMA KHAMIS, MZEE KHERI, OMAR KASU JUSA,
ABDULRAHMAN IDI MAULID, AHMED KHAMIS, AHMED MANENO, NASSIR ISSA ABEID na NASSIR BAKAR,

tunatarajia kupata nyota wengine 3 zaidi ambao viongozi wetu wanaendelea na mazungumzo nao na majina yao yatapatikana mara baada ya kila kitu kukamilika,

Lengo la kituo chetu cha Oranje Football Academy ni kuwapatia nyota hao nafasi ya kwenda kusakata soka nje,na tunatarajia msimu huu kupata mafanikio zaidi kutokana na nyota hao wapya ambao wataweza kutengeneza video mbalimbali zitakazo sambazwa katika vilabu mbalimbali vya ulaya pamoja na sehemu nyingine.
.........................................................................................................................................................................