WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday 1 November 2009

NYOTA MWINGINE APEWA NAFASI KWENDA TURKEY


(MOKTAR OUEDRAOGO NO 18 WAPILI KULIA SAFU YA MBELE AKIWA NA KLABU YAKE YA AL JAISH YA SYRIA MWAKA HUU)

....................................
ISTANBUL-TURKEY
01-11-09
Istanbul Buyuksehir Beledie Spor ya nchini Turkey ambao wapo katika Primier league ya nchi TURKEY inamchukua mshambuliaji wa kimataifa kutoka
Bukina Faso MOKTAR OUEDRAOGO ambae ameunganishiwa na kiongozi wetu wa Oranje Football Academy aliepo Istanbul-Turkey Nassor Seif kujiunga na timu hio ya daraja la Primier League nchini Turkey tayari kwajili ya mzunguko wa pili wa ligi utakaoanza mwezi wa january,

mshambuliaji huyo wa kimataifa kutoka Bukina Faso amepewa nafasi hio ya kuweza kufungua milango kwaajili ya kuipatia nafasi ORANJE FOOTBALL ACADEMY siku zijazo kuweza kupeleka nyota wake nchini humo,
hii itakuwa ni nafasi nzuri kwa klabu za nje kuweza pia kuchukua vijana wetu kupitia vigezo vya Nyota hao wa nje.
ORANJE FOOTBALL ACADEMY ina deal na baadhi ya nyota pia kutoka nchi mbalimbali,fifa agents,scouts,managers, na tunatarajia mafanikio makubwa siku zijazo katika soka ya Tanzania kwa ujumla.
Moktar ambae anatakiwa kuripoti katika klabu hio ya Istanbul ambayo mwaka jana ilimaliza ikiwa katika nafasi ya nne ipo daraja moja na miamba ya soka nchini humo kama Galatasary,Fennebahcha,Bashiktas anatokea katika timu ya AL JAISH ya nchini SYRIA ambapo amemaliza mkataba wake wa mwaka mmoja,
mshambuliaji huyo mwenye uwezo mkubwa wa kupachika mabao aliweza kuifungia timu yake hio ya Syria mabao 9 katika mech 12 alizocheza.
..........................................................................................................................................................................
.........................................................................................................................................................................
MOKATAR AKIWA NA KIKOSI KIZIMA CHA TIMU YA AL JAISH YA SYRIA PAMOJA NA VIONGOZI MWAKA HUU
........................................................................................................................................................................