WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Tuesday, 8 December 2009

KILIMANJARO STARS YAITANDIKA ARITREA 4-0

Kilimanjaro stars leo katika mechi ya robo fainali imeikandika Eritrea jumla ya mabao 4-0 katika michuano ya kombe la Chalenge.
mshambuliaji Mrisho Ngasa alipachika mabao 3 kati ya manne yaliyofungwa.

katika mechi nyingine ya robo fainali Rwanda imeifunga Zimbabwe 4-1.
Kilimanjaro Stars itajitupa kiwanjani siku ya Alhamisi kupambana na Rwanda katika mechi ya nusu fainali.

ORANJE FOOTBALL ACADEMY inatoa pongezi kwa Kilimanjaro Stars pia inawatakia kila la kheri katika mechi ya nusu fainali siku ya Alhamisi mjini Nairobi
.............................................................................................................................................................................