WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 5 December 2009

ZANZIBAR 0-0 UGANDA

Katika mfululizo wa mashindano ya Kombe la Challenge nchini Kenya leo kwenye kiwanja cha Mumias timu ya taifa ya Zanzibar imetoka sare ya 0-0 na timu ya taifa ya Uganda katika pambano safi ambapo timu zote zilionyesha ufundi mkubwa wa soka huku wakipokezana mashambulizi kwa zamu na matokeo hadi mwisho wa mechi hio ni 0-0.