WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Monday, 7 December 2009

ZANZIBAR 4-3 ZAMBIA YATINGA NUSU FAINALI

Kipa wa Zanzibar Mohammed Khamis akiokoa moja ya
penalti mbili alizookoa na kuiondoa zambia


Zanzibar imeifungisha virago Zambia kwa kuifunga jumla ya mabao 4-3 kwa njia ya penalti kwenye michuano ya kombe challenge inayoendelea nchini Kenya.

katika mechi hio iliyokuwa ngumu kwa pande zote ilimalizika kwa matokeo ya 0-0 hadi dakika 90 za mchezo ambapo alipatikana mshindi kwa njia ya penalti.

kipa Mohammed Khamis aliibuka shujaa wa mechi hio baada ya kuokoa penalti mbili za Zambia

katika mechi nyingine ya robo fainali Uganda iliwaondoa wenyeji wa mashindano hayo Kenya kwa bao 1-0.

Zanzibar na Uganda zitapambana siku ya alhamis katika moja ya mechi mbili za nusu fainali na kutoa nchi ambayo itasongambele kwenye fainali.

Kilimanjaro Stars itajitupa kiwanjani hapo kesho kupambana kupambana na Eritrea
kwa niaba ya ORANJE FOOTBALL ACADEMY tunaitakia kila la kheri Kili Stars katika mechi ya kesho.

Pia ORANJE FOOTBALL ACADEMY inatoa Hongera kwa wachezaji na viongozi wote wa Zanzibar na kila la kheri katika mechi ya nusu fainali.
.........................................................................................................................................................................