WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday 27 February 2010

ORANJE FOOTBALL ACADEMY KUCHEZA MECHI YA LIGI KESHO

Kutokana na matatizo ya umeme tumekuwa tukichelewa kuwapatia matokeo na habari mbalimbali za Oranje Football Academy,tutaweza kuwapatia habari kama kawaida siku chache zijazo.tuomba samahani kwa usumbufu huo.
Vijana wa Oranje Football Academy wanaendelea vizuri na ligi ambayo imeanza,tayari vijana wamecheza mechi 4, kushinda mechi 3 na kupoteza mechi 1,
kesho 28-02-2010 Oranje Football Academy watajitupa tena kiwanjani kucheza mechi ya ligi ambayo itakuwa ni mechi ya 5.
vijana wako ktk hali nzuri na wanatarajia kucheza soka safi na vilevile kuhakikisha inaibuka na ushindi mzuri katika mechi hio.

Wakati huohuo Kocha msaidizi wa timu ya Taifa ya Sweden ambae alikuwepo nchini hivi karibuni ambae alikuwa akifanya mazoezi pamoja na vijana wetu wa Oranje Football Academy aliwasifia sana vijana hao kwa vipaji vyao vikubwa kisoka ambao alisema kama vikiendelezwa vizuri wataweza kuwa na wachezaji nyota siku zijazo ambao watakuwa na uwezo wa kucheza soka popote.
Kocha huyo ambae alisema katika wachezaji wake anaojivunia ambao aliwanyanyua kisoka ni nyota wa F.C Barçalona Zlatan Ibrahimovic. kocha huyo aliwataka vijana wa Oranje kuwa na nidhamu ndani na nje ya soka ambayo ndio kitu kikubwa cha mafanikio katika soka hasa kwa vijina.
........................................................................................................................................................................