WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 14 February 2010

ORANJE FOOTBALL ACADEMY YAENDELEA NA MAZOEZI

Vijana wa Oranje Football Academy wanaendelea na mazoezi kama kawaida,kutokana na matatizo ya umeme yaliyoikumba Zanzibar hivi sasa imekuwa ni vigumu kidogo kuweza kuwapatia matokeo na habari mbalimbali za vijana hawa chipukizi ambao mwaka huu wamekuwa na nguvu mpya katika usajili wake,tonaomba samahani kwa usumbufu kidogo uliojitokeza wa kutoweka matokeo mbalimbali ya mechi za ligi ambayo tayari imeanza kwa vijana hao kito cha kukuza soka kwa vijana nchini kutokana na tatizo hilo la umeme.
Tutaweza kuwaletea habari kamili mara ya hali ya kawaida ya umeme kurudi kama kawaida.
..........................................................................................................................................................................