WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 28 February 2010

ORANJE FOOTBALL ACADEMY YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI

Timu ndogo ya vijana wa Oranje Football Academy U-14 leo imeendelea kuonyesha soka safi kama kaka zao na kuendeleza wimbi la ushindi katika mfululizo wa ligi ya Vijana U-14 inayoendelea.
vijana ha wadogo ambao wanafata nyayo za kaka zao kwa kutandaza soka ya kisasa na ambao ndio nguzo kubwa kwa timu ya wakubwa hapo baadae imeweza kushinda kwa mabao 2-0 mabao ambayo yamewekwa wavuni na mshambuliaji hatari anaechipukia Ibrahim Amani(Adebayor) na Tarik Abdalla(Yoki).
huo ni mshindi wa 4 mfululizo kwa vijana hao ambao wanaongoza ligi hio kwa kujikusanyia point 12 ambapo bado hawakupoteza mechi yoyote.

Wakati huohuo timu kubwa ya Oranje Football Academy imeweza kushinda kwa bao 2-0 katika mchezo uliochezwa mapema kabla ya mechi ya wadogo zao na kufanya ushindi wa 4 katika mechi 5 za ligi na kupoteza mechi 1 na wapo nafasi ya pili katika msimamo wa ligi kwa kuwa na point 12.
.............................................................................................................................................................................