WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday 14 February 2010

RIVALDO AENDELEA KUNGÁRA NCHINI NOTHERN IRELAND

...........................................................................................................................................................................
..........................................................................................................................................................................
..........................................................................................................................................................................
........................................................................................................................................................................
..........................................................................................................................................................................
Nyota chipukizi wa kimataifa Rivaldo (pichani juu)akiwa katika picha za matukio mbalimbali ya mechi zake mjini Belfast hivi karibuni



Rivaldo ambae jumamosi wiki iliyopita aliweza kungára sana na kuweza kuisaidia timu yake kuondoka na ushindi wa mabao 6-2 ambapo karibu mabao yote yalipitia kwa mpishi huyo wa timu ya Bangor F.c,

akiongea kwa simu mara baada ya mechi hio kumalizika wiki iliyopita kiongozi wa Bangor F.c aliongea kwa furaha kuwa kutokana na kiwango kilichoonywesha na Rivaldo katika mechi hio ilikuwa ni kiwango kikubwa kabisa ambacho Rivaldo alikionyesha tokea kujiunga na timu hio,


huku akicheka kwa furaha kiongozi huyo Collin alimfananiza Rivaldo na nyota Wa Brasil Ronaldinho katika mechi kwa jinsi alivyokuwa akiusanifu mpira kiwanjani huku akiwasambatisha mabeki wa timu ya wapinzani wao na kutoa pasi bila ya kuangalia na kuwafikia wafungaji wa mabao kitu ambacho kilimfanya kocha wa wapinzani wao kushindwa kujizuwia mpira ulipokwisha na kumfata Rivaldo kumpa mkono na hongora sana kwa kiwango kikubwa alichoonyesha ambapo Rivaldo alikuwa ni "Man of the Match".

jana jumamosi Rivaldo alishindwa kucheza mechi kutokana na kujisikia maumivu kidogo ya mguu ambapo walitoka 2-2 na mashabiki walikuwa wakisikika kuwa kama Rivaldo angelicheza wangeweza kuibuka na ushindi katika mechi hio,hivi sasa Rivaldo anaendelea vizuri na ataendea na mazoezi kesho kujitaarisha na mechi ya ligi hapo jumamosi tarehe 20-02-2010.
.........................................................................................................................................................................