WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Friday, 26 March 2010

O.F.A U-14 KUONYESHA UBABE TENA KESHO

ORANJE WADOGO U/14
.........................................................................................................................................................................
NYOTA WA ORANJE FOOTBALL ACADEMY WAKUBWA
........................................................................................................................................................................
Watoto wa Oranje Football Academy wiki iliyopita iliitandika timu ya vijana ya African Kids kwa jumla ya mabao 4-1 katika mechi safi ya ligi ya vijana U/14 iliyofanyika katika kiwanja cha malindi-Mnazi Mmoja
mabao ya vijana hao wadogo U/14 (pichani juu waliosimama )yalipachikwa kimiani na Moh'd Omar 2, na Kassim Ibrahim 2.
.............
wakati wadogo zao walishinda mabao 4-1 wakubwa zao (pichani juu waliokaa) walishinda mechi ya kirafiki kwa jumla ya mabao 3-0 dhidi ya Desi F.C katika mechi ya kijiweka "fiti" kujitayarisha na mechi ya mwisho ya makundi ambapo mabao ya nyota hao yalifungwa na Yussuf Abadalla 2,na Ismail Ali ilipachika bao 1.
.........................................................................................................................................................................