WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Tuesday, 16 March 2010

ORANJE FOOTBALL ACADEMY NI TIMU YA KWANZA NCHINI KUSAJILIWA BARANI ULAYA


KITUO CHA KUKUZA SOKA KWA VIJANA NCHINI ORANJE FOOTBALL ACADEMY INAKUWA NI TIMU YA KWANZA KATIKA HISTORIA YA SOKA NCHINI KUSAJILIWA KATIKA BARA LA ULAYA.

KIONGOZI WA ORANJE FOOTBALL ACADEMY ALIEPO HOLLAND AKISHIRIKIANA NA VIONGOZI WENGINE WA ACADEMY HIO YA ORANJE WALIFIKIA MAKUBALIANO KWA PAMOJA UAMUZI WA KUJIUNGA NA UMOJA WA WATU WANAOONGEA LUGHA YA KISWAHILI UMAARUFU KAMA (" UWAKI") YENYE MAKAO MAKUU YAKE AMSTERDAM-HOLLAND.
UONGOZI WA ORANJE FOOTBALL ACADEMY AMBAO WALIKUWA KATIKA HATUA ZA MWISHO KUKISAJILI KITUO HICHO CHA KUKUZA SOKA KWA VIJANA NCHINI HIVI SASA KIMEJIUNGA RASMI NA UMOJA HUO WA "UWAKI" NA HAKITOENDEA TENA KUJISAJILI KIVYWAKE KAMA ILIVYOPANGA HAPO AWALI.
"UWAKI" AMBAYO USAJILI WAKE TAYARI UPO NCHINI HOLLAND HIVYO INAPELEKEA ORANJE FOOTBALL ACADEMY KUINGIA MOJA KWA MOJA KUPITIA UWAKI KATIKA USAJILI HUO AMBAPO KITUO HICHO CHA KUKUZA SOKA KWA VIJANA NCHINI ITAKUWA NI KITENGO CHA UWAKI KILICHOPO NCHINI.

PRESIDENT WA UWAKI AMBAE PIA NI MWEYEKITI NDUGU SUNDAY A.S.K KWA NIABA YA UONGOZI MZIMA WA UWAKI PAMOJA NA ULE WA ORANJE FOOTBALL ACADEMY WAMEKUBALIANA KUWA VIJANA HAO WENYE SIFA YA KUCHEZA SOKA NA WENYE VIPAJI VYA HALI JUU KUWA WATAKUWA KATIKA UMOJA HUO NA HIVYO KUIFANYA ORANJE FOOTBALL ACADEMY KUPATA USAJILI WA MOJA KWAMOJA NCHINI HOLLAND.
MIPANGO ITAFANYWA HIVI KARIBUNI VIJANA HAO WA ORANJE FOOTBALL ACADEMY KUTUMIA JEZI ZENYE MAANDISHI YA UWAKI/ORANJE FOOTBALL ACADEMY PAMOJA NA NEMBO YA O.F.A.

UWAKI TAYARI IMEANZISHA PIA TIMU YA SOKA HAPA HOLLAND AMBAPO SAMBAMBA ITAKUWA IKISHIRIKIANA NA ORANJE FOOTBALL ACADEMY KATIKA MASUALA YA SOKA.
"UWAKI" UNASHUGHULIKA NA MASUALA MENGI YA MAENDELEA KWA WATU WANAAOONGEA LUGHA YA KISWAHILI NA SOKA NI MOJA YA KITENGO CHA UMOJA HUO.

KILA LA KHERI UWAKI/O.F.A
.........................................................................................................................................................................