WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 7 March 2010

ORANJE FOOTBALL ACADEMY YATOA FUNZO YASHINDA 4-0

Vijana wa Oranje Football Academy leo imeweza kutoa funzo katika mechi ya ligi ya vijana inayoendelea baada ya kuitandika West Germany mabao 4-0 katika mechi ambayo ilitawaliwa na vijana wa O.F.A
Wakicheza soka ya uhakika kila wizara huku ikiongozwa na mchezaji wake nyota wa timu ya Taifa ya Vijana ya Tanzania Seif Abdalla(karihe) katika safu ya ushambuliaji iliwafanya vijana wa West Germany kuwa na wakati mgumu katika mechi hio ya leo.
Magoli ya Vijana wa O.F.A yaliwekwa kimiani na washambuliaji hatari wa O.F.A Seif Abadalla(karihe) alipachika mabao mawili huku nyota mwingine mwenye uchu wa kufunga mabao Mzee Kheri pia alipachika mabao 2.

Katika mechi iliyochezwa baadae ya vijana wadogo wa O.F.A U-14 waliweza kutoka sare na vijana wa F.C. Arizona 0-0.
hii itakuwa ni mechi ya kwanza kwa vijana wetu wadogo kutoka sare katika mechi 5 walizocheza ambapo walishinda mechi 4 na bado kuendelea kuongoza ligi hio.
.........................................................................................................................................................................