WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 13 March 2010

SEIF ABDALLA (KARIHE) APACHIKA TENA MABAO 2

SEIF ABDALLA "KARIHE" (WA TATU KUSHOTO KATIKATI) AKIWA NA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA U-17 KATIKA MAZOEZI MJINI KHARTOUM-SUDAN MWAKA JANA KWENYE KOMBE LA CHALLENGE YALIYOFANYIKA NCHINI SUDAN.
Mshambuliaji hatari wa Oranje Football Academy (Karihe) leo ametingisha tena nyavu mara mbili na kuendelea kungára katika safu hio ya ufungaji katika O.F.A.
Nyota huyo wa O.F.A amekuwa akipachika bao karibu kila mechi lakini ameonyesha kuongeza kasi na mbinu zaidi katika safu ya ushambuliaji ambapo imemfanya kuanzia wiki iliyopita kuanza kasi yake ya kupachika mabao 2 kila mechi ambapo hio ni sawa na asilimia 200% ya ufungaji katika mechi mbili zilizopita.
kutokana na uwezo wake mkubwa wa kumiliki mipira na mbinu kubwa za kuwatoka mabeki wa wapinzani pamoja na uwezo wa kupachika mabao katika kila pembe anapokuwa katika eneo la hatari limemfanya nyota huyo kuanza kutisha katika nafasi hio na kuwapa wakati mgumu mabeki wa timu za upinzani anazokutana nazo.
kutoka na nyota huyo kuwa "fiti" hivi sasa anatarajia kupachika mabao mengi zaidi katika mechi zinazofata.
...........................................................................................................................................................................