WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 4 April 2010

"DERBY" ORANJE FOOTBALL ACADEMY U-14 V/S SHANGANI F.C

Watoto wa Oranje Football Academy U/14 kesho watajitupa katika kiwanja cha Mao Tse Tung B kupambana na Shangani F.C katika mechi muhimu ya ligi ya vijana U/14,
huku ikiwa inaongoza ligi hio ya vijana wadogo O.F.A itahitajia kushinda mechi hio ili kujihakikishia kucheza katika hatua ya fainal ya play-off.
vijana wote wako tayari kukabiliana na Shangani ili iweze kujihakikishia nafasi moja kati ya 3 za kuingia katika hatua ya mwisho ya ligi ya msimu huu wa 2010 kwa vijana chini ya miaka 14.
Mechi hio itakuwa ni ngumu sana kutokana na upinzani mkubwa kati ya timu hizo mbili ambazo vijana wetu wa O.F.A wako "fiti"katika pambano la kesho na kuahidi watapeleka mashambulizi ya nguvu ya mfufulizo tokea kuanza kwa mechi hio hadi mwisho ili kuhakikisha wanatoka kiwanjani na ushindi na kujihakikishia kuendelea kuongoza katika kundi A.
..............................................................................................................................................................................