WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday 24 April 2010

"DERBY" ORANJE FOOTBALL ACADEMY U/17 V/S MKUNAZINI F.C

Kesho katika mashindano ya kombe la knock-out Oranje Football Academy U/17 itajimwaga kiwanjani kupambana na timu ya Mkunazini F.C katika pambano ambalo litakuwa na upinzani mkubwa.
Oranje Football Academy ni mabingwa wa Knock-out U/17 msimu uliopita na Mkunazini ni mabingwa wa knock-out U/20 msimu uliopita.
Pambano hilo linalowakutanisha mabingwa wawili wakiwa na sifa tofauti,Mkunazini F.c ikiwa ni timu ya zamani na wazoefu itaweza kukutana na kikwazo kikubwa kutoka kwa vijana wadogo wa Oranje Football Academy ambao wameanza hivi karibuni kulinganisha na Mkunazini f.c.
katika mechi hio itakayokuwa na upinzani na uhasama mkubwa "Derby" vijana wa Oranje Football Academy wameahidi kuonyesha soka safi na nidhamu ya hali ya juu kiwanjani na kuweza kuhakikisha inaibuka na ushindi katika mechi hio ya kesho.
kutokana na kuwa na vijana wenye sifa za kusakata soka ya kufundishwa katika kikosi cha Oranje Football Academy wataweza kuwaonyesha nidhamu Mkunazini f.c hapo kesho kwani vijana wetu wamewiva kisoka na wapo tayari kupambana na mpinzani yoyote,
kutokana na vitisho wanavyojaribu kuvitoa Mkunazini f.c katika mechi hio ya kesho" na kutaka kujaribu kuwababaisha vijana wetu "kisaikologia" ni kuwa Oranje Football academy ni vijana ambao hawaogopi maneno ya juu , "tunawasubiri kiwanjani kwani katika soka hakuna kutishina tunaahidi kujibu maneno ya Mkunazini f.c hapo kiwanjani , na wajitayarishe kupokea kipigo kizito kutoka kwa vijana wa Oranje Football Academy hapo kesho katika pambano vijana wataweza kuonyesha soka ya hali ya juu "
.........................................................................................................................................................................