WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 25 April 2010

"DERBY" ORANJE FOOTBALL ACADEMY U/17 V/S MKUNAZINI F.C

mechi ya Kombe la Knock-out kati ya Oranje Football Academy na Mkunazini F.C itafanyika siku ya Jumapili tarehe 02-05-2010 badala ya tarehe iliyotanganzwa hapo mwanzo ya kufanyika kwa pambano hilo leo tarehe 25-04-10.
Pambano hilo ni kuwa litafanyika wiki ijayo jumapili 02-05-10 na sio jumapili ya leo.
Leo vijana wa O.F.A watakuwa na mapumziko na kesho mazoezi yataendelea kama kawaida kwaajili ya kujiweka tarari kwa pambano hilo litakalokuwa na upinzani mkubwa ambapo vijana wa O.F.A wataitumia wiki hii kuweza kujiweka "fiti" tayari kwa pambano hilo la jumapili.
..............................................................................................................................................................................