WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday 17 April 2010

KIONGOZI WA ORANJE FOOTBALL ACADEMY APATA UWAKALA WA SOKA WA FIFA

Mwandishi wa Habari wa BCC Kiswahili ambae pia ni kiongozi wa Kituo Cha Kukuza soka kwa vijana Ndugu Ali Saleh "Alberto" amefanikiwa kuwa wakala wa soka anaetambulika na shirikisho la soka Duniani Fifa. "FIFA PLAYER'S AGENT".
kiongozi huyu wa Oranje Football Academy atakuwa ni kiungo kikubwa kwa Kituo hicho cha kukuza soka kwa vijana nchini kwa kuwa wakala wa Fifa ndani ya Academy hio.
hii ni moja ya hatua kubwa ya kuleta maendeleo makubwa kwa soka nchini kwani itafanya idadi ya mawakala wa soka nchini kuongezeka na kuweza kuwasaidia vijana wengi nchini kupata nafasi ya kwenda kucheza soka nje. nchi zilizoendelea kisoka zina idadi kubwa ya mawakala wa soka ukilinganisha na nchi nyingine zinazoanza kuleta mabadiliko ya maendeleo ya soka.
Uongozi Wa Oranje Football Academy ukishirikiana na Organisation ya watu wanaozungumza lugha ya Kiswahili kwa nchi za Africa Mashariki/kati na kusini "UWAKI " yenye makao makuu yake AMSTERDAM-HOLLAND watatao ushirikino mkubwa kwa wakala wake ili kuweza kutoa nafasi nyingi kwa vijana nchini kucheza soka nje.
kwa niaba ya Oranje Football Academy/Uwaki inamtakia wakala wake ndugu Ali Saleh kila la kheri na mafanikio kwa manufaa ya soka ya Tanzania.
........................................................................................................................................................................
Mwandishi wa Habari wa BCC Kiswahili Ali Saleh akihoji kitu katika moja ya matuko yake kazini kama mwandishi wa Habari.
.........................................................................................................................................................................
Kiongozi wa Oranje Football Academy ambae pia ni mwandishi wa habari ya BCC Kiswahili Ali Saleh "Alberto" akiwa kazini
........................................................................................................................................................................