WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Monday 5 April 2010

NAFASI ZA TIMU ZA U/14 KATIKA LIGI

Kwa matokeo ya leo ya ushindi wa 1-0 U/14 msimamo wa nafasi ni kama unavyoonekana -->

TIMU:....................................................................................POINTS

ORANJE FOOTBALL ACADEMY:.................................... 22

ARIZONA F.C:.......................................................................21

CALYPSO:..............................................................................18

KYIV:.......................................................................................17

SHANGANI F.C:.................................................................... 14

Timu 3 za kila kundi zinaingia katika hata ya Fainali na timu zote zimebakisha mechi moja kukamilisha ratiba ya makundi hatua ya kwanza.

Kwa ushindi wa leo wa O.F.A U/14 imejihakikishia moja ya nafasi 3 za kucheza hatua ya fainali ambapo mechi yake ya mwisho wiki hii itapambana na F.C Kyiv
ARIZONA V/S CALYPSO.
Vijana wa O.F.A watahakikisha wanashinda kila mechi hio ili kuweza kubakia nafasi ya kwanza pia kutotaka kupoteza mechi na kujiweka "fiti"katika mechi za fainal.

Kwa upande wa Wakubwa zao tayari imekamilisha mechi zake na kusubiri matokeo ya makundi mengine ili kujui ni timu gani watakazoweza kukutana nazo katika hatua ya fainali.

Kabla ya kuanza kwa hatua ya mwisho ya ligi hio ya vijana U/17 mara baada ya makundi mengine kukamilisha ratiba vijana wa O.F.A wataweza kutetea ubingwa wao wa Kombe la KNOCK-OUT ambalo litaanza hivi karibuni

Vijana wa O.F.A wako tayari kuanza kikamilifu utetezi wa kombe la KNOCK-OUT ambalo waliweza kulitwaa msimu uliopita.
.........................................................................................................................................................................