WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 10 April 2010

ORANJE FOOTBALL ACADEMY U/14 0-1 F.C KYIV

Katika mechi ya mwisho wa makundi leo vijana wa Oranje Football Academy U/14 wamejikuta wakifungwa bao 1-0 na F.C Kyiv katika pambano ambalo vijana a O.F.A walikosa nafasi nyingi za kuweza kuibuka na ushindi katika mechi hio ya leo.
pamoja na kufungwa mechi ya leo watoto hao wa O.F.A wamejihakikishia kuingia katika hatua ya fainali ambapo itazikutanisha timu 3 kutoka makundi mengine.
kutokana na kufungwa mechi ya leo vijana hao wadogo wa O.F.A wataweza kusoma na kujipanga vizuri kabla ya kuanza kwa hatua ya mwisho wa kumpata Bingwa wa msimu huu wa ligi 2010 kwa vijana chini ya miaka 14 ambapo mechi kwa timu zote zinatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na kuzijumuisha timu bora kwa kila kundi.
............................................................................................................................................................................