WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Monday, 19 April 2010

ORANJE FOOTBALL ACADEMY YASHINDA MECHI YA KIRAFIKI

Oranje Football Academy jana waliweza kushinda mechi yao ya kirafiki iliyofanyika katika mji wa Fujuni ambapo vijana hao walikwenda kwa ziara ya siku moja.
vijana wa O.F.A wakicheza kandanda safi dhidi ya wachezaji mchanganyiko wastaafu wa primier League pamoja na timu ya Taifa ya Kianga waliweza kuibuka mshindi katika mechi hio kwa jumla ya mabao 4-3.
Huku ikimchezesha mshambuliaji hatari chipukizi mwenye uwezo mkubwa kisoka wa kikosi chake cha pili cha U/14 Moh'd Omar aliweza kuipachikia timu yake ya O.F.A mabao 2 kati ya manne.
mabao mengine 2 yalifungwa na Yussuf Miraji katika mechi ambayo ilikuwa na kila aina ya ufundi pamoja na vijana wa O.F.A kukutana na wachezaji waliokuwa na uzoefu katika soka na kuweza kutoa burudani safi katika mechi ya jana. hadi mwisho wa mchezo O.F.A 4-3 dhidi ya timu ya wachezaji wa zamani wa Primier League na Taifa ya Fujuni
..............................................................................................................................................................................