WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 17 April 2010

ORANJE FOOTBALL ACADEMY ZIARANI KIANGA KESHO

Mabingwa wa kombe la Knock-out Oranje Football Academy kesho watakuwa na ziara katika mji wa Kianga na watacheza mechi moja ya kirafiki mjini hapo ili kujiweka "fiti" kutetea Kombe lake la Knock-Out ambalo litaanza hivi karibuni.

Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha nchini na kufanya mechi kusimama kwa muda kutokana na viwanja kujaa maji Kiongozi wa kituo hicho cha kukuza soka kwa vijana nchini Yakoub Turkey amewaandalia safari hio vijana hao ili kujiweka "fiti kutetea Ubingwa wake Mabingwa hao wataelekea safarini Kianga ambapo watakuwepo huko kwa muda wa siku moja.

Vijana wa Oranje Football Academy wanaweza kuonyesha kandanda safi na kutoa burudani kwa wakazi wa mji huo wa Kianga hapo kesho.
..............................................................................................................................................................................