WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 17 April 2010

WACHEZAJI NA VIONGOZI WA ORANJE FOOTBALL ACADEMY KATIKA PICHA

VIONGOZI WA ORANJE FOOTBALL ACADEMY wakiwa katika picha ya pamoja,wa kwanza kushoto ni Wakala mpya wa Fifa nchini ambae pia ni mwandishi wa Habari wa BCC Kiswahili ndugu Ali Saleh.pichani kulia "jezi nyekundu" ni kocha Hassan ambae ndie kocha aliewanyanyua kiwango Nadir Haroub "canavaro" Abdi Kassim "babi" ambao wote wanachezea timu ya Taifa ya Tanzania " Taifa Stars" wakati walipokuwa na umri kama huu wa vijana wa Oranje Football Academy miaka iliyopita.
.........................................................................................................................................................................
Wachezaji wa Oranje Football Academy wakisikiliza kwa makini maagizo ya viongozi wao katika moja ya mikutano yao,katikati kushoto"jezi ya Blue mikono mirefu ni mshambuliaji hatari wa O.F.A ambae pia ni mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Vijana ya Tanzania U/17 " Serengeti Boyz" Seif Abdalla "karihe" pamoja na nyota wengine wa O.F.A
.........................................................................................................................................................................
Viongozi wa Oranje Football Academy wakiwa katika moja ya kikao cha kukabidhi vifaa kwa wachezaji wao, pichani kulia ni wakala mpya wa Fifa nchini Ali Saleh.
........................................................................................................................................................................
Viongozi pamoja na baadhi ya wachezaji wa Oranje Football Academy wakiwa katika picha ya pamoja(wachezaji wapya U/17 pamoja na wale wa U/14 hawakuweza kuwepo pichani kutokana na sababu mbalimbali).
.......................................................................................................................................................................