WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 1 May 2010

KOCHA WA ZLATAN IBRAHIMOVIC, BO NILSON KOCHA MSAIDIZI WA TIMU YA TAIFA YA SWEDEN ALIPOKUWA MAZOEZINI ORANJE FOOTBALL ACADEMY

Kocha msaidizi wa timu ya taifa ya Sweden BO NILSON (pichani katikati )ambae ndie alienyanyua kiwango cha soka cha mfungaji nyota wa timu ya soka ya sweden pia nyota wa mabingwa wa msimu uliopita barani ulaya F.C. BARÇELONA ZLATAN IBRAHIMOVIC alipokuwa na vijana wa kituo cha kukuza soka nchini Oranje Football Academy hapa ni baada ya kumlizika kwa mazoezi,pichani kulia ni kiongozi wa kituo hicho cha O.F.A ambae ni mwandishi wa habari wa BBC Kiswahili ambae pia hivi karibuni amefanikiwa kuwa Wakala wa soka anaetambulika na shirikisho la soka Duniani Fifa ndg, ALI SALEH mara baada ya kumalizika mazoezi ya O.F.A
.........................................................................................................................................................................
Kocha Bo Nilson katikati akiwa katika picha ya pamoja na makocha mbalimbali mara baada ya kumalizika kwa mazoezi ya O.F.A katika kiwanja cha Mao-Tse-Tung
.........................................................................................................................................................................
Vijana Chipukizi wa Oranje Football Academy wakiwa mazozini ambayo walipatiwa na kocha msaidizi wa timu ya taifa ya Sweden Bo Nilson katika kiwanja cha mao-Tse-Tung
........................................................................................................................................................................
Kocha Bo Nilson akifatilia kwa makini mazoezi ya vijana wa Oranje Football Academy
.........................................................................................................................................................................
Nyota wa Oranje Football Academy wakijitayrisha kuanza mazoezi ambayo walipewa na kocha Bo nilson
.........................................................................................................................................................................
Kocha Bo Nilson akiangalia na kufatilia kwa mbali vijana wake wa O.F.A katika mazoezi ili kuhakikisha wanafanya kama vile ambavyo alivyowaelekeza
.........................................................................................................................................................................
Nyota wa Oranje Football Academy wakifahamishana kitu mazoezini
.........................................................................................................................................................................
Mmoja wa makocha wa kituo hicho cha kukuza soka kwa vijana cha Oranje Football Academy (pichani wa kwanza kushoto) kocha Hassan ambae ni kocha aliyenyanyua viwango vya wanasoka mbalimbali nchini wakiwemo wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" Abdi Kasim "Babbi"na Nadir Haroub "Canavaro" akifatilia kwa makini vijana wake wa O.F.A kuhakikisha wanafata maelekezo ya kocha Bo Nilson katika kiwanja cha Mao Tse Tung
.........................................................................................................................................................................
Kocha msaidizi wa zamani wa Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" Ali Bushiri (katikati jezi nyeupe) akiwaelekeza vijana wa Oranje Football Academy jinsi wanavyotakiwa kufanya katika mazoezi waliyopewa na kocha Bo Nilson (wa kwanza kulia) katika kiwanja cha mao tse tung
.........................................................................................................................................................................
Makocha mbalimbali walihudhuria katika mazoezi kuungana na kocha Bo Nilson katika kiwanja cha Mao Tse Tung
.........................................................................................................................................................................

Kocha Bo Nilson akiangalia Muda ambao alihitajia kuutumia katia kila mazoezi ambayo aliwapatia vijana hao na kuhakikisha wanafikia malengo ya mazoezi kwa muda wake ambao ni wa kiwango cha kimataifa sawa na muda ambao wanatumia wachezaji wote vijana wa barani ulaya
.........................................................................................................................................................................
Kocha Bo Nilson akiweza sawa saa yake katika muda wa kuanza kwa zoezi ambalo aliwapatia vijana hao wa Oranje Football Academy
.........................................................................................................................................................................
Kocha Nilson akifatilia kwa makini vijana wake hapo mazezini kuhakikisha wanafata yote yale ambayo aliwaelekeza kufanya
.........................................................................................................................................................................
Kocha Nilson akiwafahamisha nyota Oranje Football Academy ni kitu gani wanatakiwa kufanya kama ambavyo anaonyesha mkono wake
.........................................................................................................................................................................
Vijana wa Oranje Football Academy wakiwa mazoezini
.........................................................................................................................................................................
Kocha Nilson akiwafahimisha wachezaji wake kitu gani wanatakiwa kukianya
.........................................................................................................................................................................
Kocha Nilson akitayarisha saa yake kwa ajili ya kuanzisha zoezi (pichani wa kwanza kulia) ni kocha maarufu kutoka Kenya Hussein Kheri ambae pia aliungana na makocha wengine wengi katika mazoezi hayo yaliyosimamiwa na kocha Bo Nilson kutoka Sweden
.........................................................................................................................................................................
Nyota wa Oranje Football Academy wakisikiliza kwa makini maelezo ya kocha kiwanjani hapo
.........................................................................................................................................................................
Makocha mbalimbali waliohudhuria mazoezi wakisikiliza maelezo kutoka kwa kocha Bo Nilson,( wa kwanza kulia jezi njano)ni kocha maarufu wa soka ya vijana kocha Hassan ambae pia ni mmoja kati ya makocha wazuri wenye uwezo mkubwa katika kukuza soka ya vijana
.........................................................................................................................................................................
Nyota wa Oranje Football Academy wakipata mawaidha hapo mazoezini kutoka kwa Kocha Nilson
........................................................................................................................................................................
Kocha Bo Nilson akisimamia vijana wake wa Oranje Football Academy kuhakikisha wanafata maelekezo yake
........................................................................................................................................................................
Kocha Nilson akiangalia kwa makini jinsi vijana wanavyofanya vile ambavyo aliwataka kufanya hapo mazoezini
.........................................................................................................................................................................
Vijana Chipukizi wa Oranje Football Academy wakiwa katika mazoezi katika kiwanja cha Mao Tse Tung
.........................................................................................................................................................................
wachezaji wa Oranje Football Academy wakiwa mazoezini
.........................................................................................................................................................................
Wachezaji nyota wa Oranje Football Academy wakipata maelekezo kutoka kwa kocha ( hayupo pichani kulia) katika mazoezi ambayo yalitolewa na kocha Bo Nilson
.......................................................................................................................................................................
Kocha Nilson akitoa maelekezo kwa vijana wa Oranje Football Academy
.........................................................................................................................................................................
Kocha Bo Nilson akiongea na nyota wa Oranje Football Academy wakati wa Mazoezi ambayo aliyasimamia katika kiwanja cha Mao Tse Tung pia Kocha Nilson alipata bahati ya kuona mechi ya kirafiki ambayo iliandaliwa baadae kwa ajili yake kuona vijana wake wa Oranje Football Academy walipocheza na timu ya Vikokotoni Pharm ambapo vijana wa Oranje Football Academy alionyesha kiwango cha hali ya juu cha soka.