WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 9 May 2010

U/17 ORANJE FOOTBALL ACADEMY YAINGIA ROBO FAINALI

Oranje Football Academy U/17 jana waliingia robo fainali ya mashindano ya kombe la knock-out katika pambano lililofanyika katika kiwanja cha Mao Tse Tung.

Katika pambano hilo la jana U/17 waliweza kushinda kwa mabao 2-0 dhidi ya Stone Town.
mabao ya O.F.A yaliwekwa kimiani na Yussuf Miraji bao moja pamoja na Yussuf Abdalla bao 1.

kwa matokeo hayo leo ratiba ya timu zilizoingia robo fainali itatolewa hivyo kujua ni timu gani itapambana na O.F.A pamoja na siku ya pambano.
Kwa upande wa Vijana wa U/14 hivi sasa tayari wamewasili katika kiwanja cha Mchangani Malindi kwa pambano lao na Vijana wa Villa Real.
watoto hao wa Oranje Football Academy wanaonekana wakiwa katika hali nzuri ya kushinda pambano hilo ambapo matokeo yake yatafatia baadae hapa katika Blog hii mara baada ya kumalizika kwa pambano hilo.
........................................................................................................................................................................