WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Tuesday, 22 June 2010

ARGENTINA,SOUTH KOREA ZASONGA MBELE

............................................................................................................................................
...........................................................................................................................................
Argentina na south korea wameingia katika hatua ya 16 kutoka katika kundi B,Argentina imewachapa mabingwa wa zamani wa bara la ulaya Greece jumla ya mabao 2-0 mabao yaliyofungwa na Demichelis dakika ya 77 na palermo dakika ya 89 kutokana na ushindi huo argentina imechukua poit zote 9 za kundi hilo south korea imeshika nafasi ya pili baada ya kutoka sare na nigeria 2-2 mabao ya nigeria yalifungwa na uche dakika ya 12 na yakubu dakika ya 69 kwa njia ya penalti,mabao ya south korea yalifungwa na lee dakika ya 38 na park dakika ya 49.
katika mechi za hatua ya 16 zitakazovuuka katika makundi leo zimeanza kupatiaka.
Argentina v/s mexico
Uruguay v/s south korea.
.............................................................................................................