.......................................................................................................................................
..............................................................................................................................................

...............................................................................................................................................
............................................................................................................................................
............................................................................................................................................
..............................................................................................................................................
............................................................................................................................................
..............................................................................................................................................
................................................................................................................................................
.............................................................................................................................................
............................................................................................................................................
Ghana na Australia wemegawana point katika mechi ya leo baada ya kutoka sare ya 1-1 katika mechi ambayo Australia ilicheza ikiwa na upungufu wa mchezaji mmoja kuanzia dakika ya 24 ya kipindi cha kwanza baada ya kuonyeshwa kadi nyukundu katika harakati za kuokoa alipoushika mpira kwa mkono ambapo Asamoah gyan aliiweka penalti hio kuwa bao la kusawazisha,kabla ya kuingia kwa penalti hio australia walitangulia kufunga katika dakika ya 11 wakati kipa wa ghana alipoutema mpira wa free kick iliyopingwa kwa nguvu na Bresciano na Holman aliushindikiza wavuni mpira huo na kufanya autralia kuongoza mechi,hadi mwisho wa pambano Ghana 1-1 Australia. ghana inaongoza kundi hilo kwa kuwa na point 4 ambapo australia imejipatia point yak ya kwanza.
....................................................................................................................................................