WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Wednesday, 16 June 2010

HONDURAS 0-1 CHILE

.........................................................................................................................................
......................................................................................................................................
Honduras imefungwa bao 0-1 na chile katika mechi ya kundi H mechi iliyofanyika katika uwanja Mbombela mjini Nelspruit.
bao la chile lilifungwa na Beausejour katika dakika ya 34.
huo ni ushindi wa kwanza kwa chile katika fainali za kombe la dunia kwa jumla ya miaka 48 iliyopita kwa mara ya mwisho waliposhinda mechi yao katika fainali hizo za kombe la dunia ilikuwa dhidi ya yugoslavia katika kumtafuta mshindi wa tatu mashindano ya mwaka 1962 ambayo yalifanyika nchini chile.

kutokana na ushindi huo chile sasa inaongoza kwa pamoja na switzaland katika kundi hilo kwa point 3 kila moja na kuziwacha spain na honduras zikiwa chini ya msimamo bila ya point.
...................................................................................................................................