WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 20 June 2010

ITALIA 1-1 ALL WHITES

...........................................................................................................................................
...........................................................................................................................................
............................................................................................................................................
..............................................................................................................................................
..........................................................................................................................................
........................................................................................................................................
..........................................................................................................................................
......................................................................................................................................
Mabingwa wa dunia italia leo imelazimishwa sare ya 1-1 na new zealand "all whites" na kuifanya nchi hio kuwa na wakati mgumu ambapo kuingia katika 16 itategemea mechi yake ya mwisho ili kuweza kuwapata washindi wapili wa kundi hilo.
new zealand ilikuwa ya kwanza kuandika bao katika dakika ya smeltz katika dakika ya 7 ambapo italia ilikomboa kwa njia ya penalti kwa bao lililopachikwa na iaquinta katika dakika ya 29.
katika dakika 63 "all whites"ilimuingia mshambuliaji mwenye kipaji cha hali ya juu mwenye umri wa miaka 18 Chris Wood anaechezea west bromwich albion ya england na kuifanya mechi hio kuwa ya 19 ya kiwango cha kimataifa kwa kinda huyo ambae mechi yake ya kwanza ilikuwa katika uwanja wa taifa wa dar es salaam wakati "all whites"walipopata kichapo cha bao 2-1 kutoka kwa taifa stars.
.................................................................................................................................