Oranje Football Academy inaendelea vizuri na mazoezi ambapo kesho itajitupa katika kiwanja cha Mao tse tung kupambana na Leeds United katika pambano la ligi hatua ya mwisho ya kumpata bingwa wa msimu huu wa U/17. vijana wa Oranje Football Academy wako "fiti"tayari kwaajili ya pambano hilo la kesho ambalo litakuwa ni la kwanza kwa U/17.
.......................................................................................................................
Executive Board begins with a focus on the new UNICEF Strategic Plan,
2018–2021
-
NEW YORK, United States of America, 7 February 2018 – The UNICEF Executive
Board opened its first regular session yesterday, welcoming its new
President fo...
6 years ago