WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 27 June 2010

ORANJE FOOTBALL ACADEMY YASHINDA

Oranje Football Academy jana iliifunga Leeds United bao 1-0 katika mechi ngumu ya ligi ya vijana U/17. katika pambano hilo la kwanza la hatua ya mwisho wa kumpata bingwa wa msimu huu Oranje Football Academy ilijipatia bao lake pekee kupitia kwa Ahmed Khamis.

katika mechi ya pili itakayofanyika jumapili O.F.A itapambana na Kwahani.
...............................................................................................................................................