WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Friday, 18 June 2010

U.S.A 2-0 SLOVENIË

..........................................................................................................................................
.........................................................................................................................................

........................................................................................................................................
Slovenië na u.s.a wamegawana point katika mechi ya pili ya kundi c kwa kufungana mabao 2-2.
wakiongoza kwa mabao 2-0 hadi kumalizika kipindi cha kwanza slovenië ilianza kuandika bao la kwanza katika dakika ya 13 bao lililofungwa na Birsa dakika ya 42 Lyubijankic aliiongezea slovenië bao la pili lakini u.s.a ilianza kuhesabu bao la kwanza katika dakika ya 48 dakika 3 tu baada ya kuanza ya kuanza kipindi cha pili kwa bao lilofungwa na Donovan.
dakika ya 82 bradley aliisawazishia u.s.a na kufanya hadi mwisho wa mchezo huo mabao kuwa 2-2.