WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Thursday 15 July 2010

BEST FOOTBALL SUPORTERS IN THE WORLD.

Msafara wa magari 22 ya mashabiki wa soka wa Holland yenye rangi za Orange yalichukua muda wa miezi 3 kutoka amsterdam mpaka Bloemfontain-africa ya kusini ambapo walipitia nchi kadhaa kabla ya kufika nchini humo tayari kwa fainali hizo ambapo mwisho waliweza kuibuka mshindi wa pili wa dunia.

magari hayo 22 yajulikanayo kama "Oranje Trophy"yaliyobeba mashabiki kadha yakiwa njiani walikuwa wakitembelea sehemu kadhaa muhimu katika nchi walizopita huku wakisaidi baadhi ya mirandi mbali mbali ya maendeleo katika vijiji kadhaa vya nchi za africa.

katika nchi walizopita kabla ya kufika south africa ni.germany,switzaland.italia ambapo walichukua ferry boti hadi tunisia baadae kuendelea na barabara kupitia libya,egypt,sudan,ethiopia,kenya,tanzania(arusha ambapo walitembelea sehemu za mbugani),malawi,zambia,botswana,na kufikia south africa ambapo huko waliungana na mashabiki wengine waliokwenda na magari moja kwa moja kutoka holland kwa jumla ya 177 na kukamilisha kambi hio kuwa na mlolongo wa magari yote yakiwa na rangi za orange kuwa idadi ya 199. ambapo pia huko walikutana na wale wa mapikipiki makubwa 100 yenye rangi za orange na kufanya msururu wa msafara huo wa orange kuwa mkubwa kuliko ya nchi zote zilizoshiriki mashindano hayo ambapo kambi hio ilikuwa ikilindwa na kikosi chake cha polisi kutoka holland kilichopekekwa maalum kwa kazi hio ili kuwasaidia walinzi wenzao wa south africa katika kuwadhibiti mashabiki hao ambao polisi wa holland walidai kuwa wanawaelewa jinsi ya kwenda nao ili kuweza kuleta utulivu wakati wote watakapokuwa huko.Holland ilikuwa ni nchi pekee iliyokuwa ikisaidia miradi kadhaa ya maendeleo nchini africa ya kusini ikiwemo miradi kutoka kwa serikali,mashirika mbalimbali pamoja na wafanyabiashara binafsi na watu maarufu akiwemo Johan cruiff ambae alijenga kituo cha kisasa cha soka kijulikacho kama "cruijff court"ambapo vituo kama hivyo amevijenga sehemu njingi sana barani ulaya ikiwemo london-england,barcelona-spain ambapo lengo ni kutoa nyota kadhaa wa baadae

hakuna matatizo yoyote yaliyotokea kwa upande wa mashabiki hadi kumalizika kwa mashindano hayo.Holland inabakia kuwa ni nchi bora duniani kwa ushangiliaji wake wa soka ambapo wapo katika hatua ya kuandaa mashindano ya soka ya kombe la dunia mwaka 2018 kushirikiana kwa pamoja na jirani zao wa Belgium.

...............................................................................................................